HABARI ZA HIVI PUNDE




MBOWE AMTAKA MAGUFULI KUWAWAJIBISHA WAHUSIKA AJALI YA MV NYERERE [21.09.2018]
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amemtaka Rais John Magufuli, kuwawajibisha waliohusika kwa namna moja ama nyingine kusababisha ajali ya kuzama kwa Kivuko cha MV Nyerere, iliyotokea jana Ukerewe mkoani Mwanza... READ MORE


WATU 136 WATHIBITISHWA KUFA HADI SASA AJALI YA KIVUKO CHA MV NYERERE. [21.09.2018]
Hadi sasa ni watu 136 wamethibitishwa kufa kufuatia ajali ya kivuko cha MV Nyerere nchini Tanzania huku makundi ya uokoaji yakirejelea shughuli za kuwatafuta manusura...READ MORE

MAHAKAMA YAMUACHIA HURU BABA LEVO [19.09.2018]
Baba Levo ambaye pia ni diwani wa kata ya Mwanga kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo leo amesomewa hukumu hiyo na kuachiwa huru baada ya Mahakama kushindwa kuthibitisha makosa yanayomkabili...... READ MORE

MBOWE: SIONDOKI CHADEMA KWA KELELE ZA WATU [19.09.2018]
Kumekuwa na shinikizo la kumtaka Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ajiuzulu nafasi huyo, japo yeye amepuuza habari hizo akisema hataondoka Chadema wala hatadhoofika kiasi cha kumpigia mtu yeyote magoti....... READ MORE


SELECTED STUDENTS [PART III]:[04.09.2018]
Student selected to join (SUA, NIT, TUDARCo, CDTI, MUST, ST. JOHN'S, WATER, MUHAS) are now released Click to view your selection now... READ MORE

SELECTED STUDENTS [PART II]:[03.09.2018]
Student selected to join (Mzumbe, Mwl Nyerere memorial, IRDP, Stella Maris - Mtwara, Moshi Co-operative, RUCU, JUCO, TUMA, MWEKA) are now released Click to view your selection now... READ MORE

SELECTED STUDENTS [PART I]:[02.09.2018]
Student selected to join (Arusha Tch, UDOM, KCMC, CBE, BUGANDO, MUM,I RINGA UNIVERSITY,  ARIDHI UNIVERSITY) are now released Click to view your selection now... READ MORE

TCU:[01.09.2018]
Orodha ya waombaji waliodahiliwa na chuo zaidi ya kimoja mwaka wa masomo 2018/2019 READ MORE

MNADA WA MALI ZA MAKONDA:[01.09.2018]
Mali za makontena ya Makonda zaanza kupigwa mnada leo jijini Dar es salaam. READ MORE

UMOJA WA WABUNGE:[01.09.2018]
Wabunge wachangiwa Sh800milioni Dar es salaam READ MORE

UTAFITI:[31.08.2018]
Watoto 394 hubakwa kila mwezi Tanzania READ MORE

WATER INSTITUTE:[30.08.2018]
Students selected for diploma courses for 2018/2019 READ MORE

TAMISEMI: [29.08.2018]
Taarifa ya Kusitishwa kwa Uhamisho READ MORE

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Accept !